Air condition
Parking
Day | Price |
---|
Ukumbi mzuri, ni ukumbi wa sherehe
Air condition
Parking
Vinywaji kutoka nje haviruhusiwi
Chakula kutoka nje hakiruhusiwi
meza na viti vitatolewa kulingana na idadi ya watu
booking inakamilika baada ya malipo ya 50% ya bei ya ukumbi
malipo yote yakamilike wiki kabla ya sherehe
mteja lazima alipie mwenyewe kibali cha sherehe kutoka manispaa
mwisho wa sherehe ni saa 6 usiku
sherehe inaweza kuahirishwa mara moja tu, baada ya mteja kumaliza malipo yote ya ukumbi
sherehe isipofanyika ada ya ukumbi haitarudishwa
haturuhusu sherehe mbili kwa wakati mmoja
Wahudumu ni jukumu la ukumbi
Sign in or Create account to proceed with Booking.
Tzs 700,000.00 per day
You Need To Complete First installment Payment Within 15 minutes before your Reservation been cancelled .
You must pay at least 50.0% for booking
Booking inakamilika pale mteja atakapolipia advance ya 50%